Psalms 104:35


35 aLakini wenye dhambi na watoweke katika dunia
na waovu wasiwepo tena.

Ee nafsi yangu, Msifu Bwana.
Msifuni Bwana kwa Kiebrania ni Hallelu Yah.

Msifuni Bwana.
Copyright information for SwhKC